skari 15 waliopo mafunzoni katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, maarufu zamani kama CCP mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo baada ya gari walilopanda kuhusika kwenye ajali ya uso kwa uso na lori aina ya Fuso.
Tukio hilo lilitokea jana, Jumanne Agosti 12, 2025 katika eneo la Kwa...