ashrafjk

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tangu 1997 nilipoanza kuingia korido za hospitali, leo nimegundua kuna jamaa hospitali anaitwa Mfamasia

    Mwaka 1997 nilipoanza kuingia korido za hospitali, nilikuwa najua watu wachache sana. Nilimjua daktari. Nilimjua nesi. Nilimjua mtu wa maabara. Na yule anayekaa dirishani na kuniambia, “Lipa kwanza.” Huyo nilimjua vizuri sana. Lakini mfamasia? Hapana. Jina hilo halikuwepo kwenye kamusi yangu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Pengine ulikuwa hujui, lakini kuna Kichaa cha bangi

    Si Ndiyo! Matumizi ya bangi yanaweza kuhusishwa na hali ya kisaikolojia inayojulikana kitaalamu kama cannabis-induced psychosis, ambayo kwa lugha rahisi inaweza kueleweka kama “kichaa cha bangi”. “Kichaa cha bangi” ni nini? Ni hali ambapo mtu anayetumia bangi anaweza kupata psychosis, yaani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…