arv kwenye nguruwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utafiti wabaini masalia ya ARV kwenye Nyama za Nguruwe na Kuku wa kisasa kwenye wilaya 9 Tanzania

    Tafiti hii imebaini kuwa kuna matumizi mabaya ya dawa za kupunguza makali ya VVU (ARVs) ambazo kimsingi zimekusudiwa kwa matumizi ya binadamu pekee, sasa zimekuwa zikitumika kulishia wanyama kama kuku, nguruwe na ng’ombe katika baadhi ya maeneo ya Tanzania. Tabia hii siyo tu kuwa ni kinyume na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…