Msomi na Mhadhiri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mathew Mndeme, amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu hiyo, Mndeme amesema kuwa...