arumeru magharibi

Arumeru District (Meru District and Arusha Rural District) is a former district in the Arusha Region of Tanzania. It was bordered to the north, west, and southwest by Monduli District, to the southeast by the city of Arusha, and to the east by the Kilimanjaro Region.
As of 2002, the population of the Arumeru District was 516,814.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Mwenezi CCM, Arumeru: CCM hatujahusika kuwaambia msishiriki Uchaguzi, wanaohamasisha kutoshiriki wamepewa uraia huko nje

    Mwenezi CCM, Arumeru Magharibi amesema CCM hatujahusika kuwambia msishiriki uchaguzi, wanaohamasisha kutoshiriki wamepewa uraia huko nje.
  2. GE2025 Lengai ole sabaya autaka ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi

    Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai,lengai ole sabaya anatajwa kuingia kweye kinyanganyiro Cha kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Arumeru Magharibi,Kwa tiketi ya Chama Cha CCM. Sabaya anatarajiwa kuchuana na wagombea wengine 20 waliokwisha chukua fomu za ubunge kupitia Jimbo la Arumeru...
  3. GE2025 Ezekiel Mollel achukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi

    Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Ezekiel Mollel naye amechukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi. Mollel ambaye pia ni mwalimu amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumapili Juni 29, 2025, na Katibu wa CCM Wilaya ya Arumeru, Kamila Kigosi.
  4. F

    UBUNGE ARUMERU MAGHARIBI PAMEANZA KUCHANGAMKA

    Waraka mkali na kinyang'anyiro cha Ubunge Arumeru Magharibi warushwa kwenye makundi sogozi. Bado miezi michahe pakuche.
  5. PreGE2025 Wananchi Arumeru Magharibi wasema mbunge wao ni mzigo, ameshindwa kutekeleza ahadi ya ujenzi wa barabara

    Wananchi wa Kiranyi wilaya ya Arumeru wamefunga barabara kwa zaidi ya masaa matatu kwa lengo lakufikisha ujumbe kwa serikali, kutokana na ubovu wa barabara hiyo kwa muda mrefu huku wakilaumu MBUNGE wa eneo hilo kuwa mzigo kwa wananchi hao kwakushindwa kutekeleza ahadi yake ya Ujenzi wa Barabara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…