Leo Mabingwa watetezi wa Kombe la dunia Argentina Wapo uwanjani kutupa karata yao ya kwanza na vijana kutoka Kaskazini MwaAfrika Algeria.
Bingwa mtetezi kukabwa koo au atampasua vibaya sana Algeria?
===========
Habari za Mechi na Fomu ya Sasa
Mbio za Kihistoria za Argentina: Miaka minne...