Mama Shikamoo pole na majukumu ya kulipambania Taifa letu Kwa ujumla wake.
Sina mengi sana ila nataka kujua kuhusu huyu mdogo wetu,kijana, wetu Maarufu Kwa jina la Anko T.
Huyu kijana Kwa muda mrefu Sasa nimekuwa nikimuona kwenye mitandao ya kijamii Kwakweli nashindwa nimuweke kundi lipi...