CCM haipo mbali na huu ukweli, wataanza kuform serikali ya mseto kisha itaondolewa madarakani.
Moja ya matamanio ya Wa TZ ni CCM kuanguka.
CCM has proven failures kwenye kila sekta, na for as long as CCM itakuwa madarakani, TZ haitoweza kuendelea kamwe.
Samia hawezi kulaumiwa kwa kutokuwa...