alphonce temba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Alphonce Temba: Nikichaguliwa Mabasi yote yataishia Stendi ya Magufuli

    Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amesema moja ya mipango yake mikuu kama angepata nafasi, ilikuwa ni kurejesha mabasi yote ya mikoani kwenye Stendi ya Magufuli, Mbezi. Anasema mpango huo ulikuwa ni kupunguza msongamano katikati ya jiji.
  2. Alphonce Temba, afichua: Nilimshauri Kabila wazime Mtandao wakati wa Matokeo ya Uchaguzi

    Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amefichua kuwa aliwahi kushika nafasi ya mshauri wa juu wa viongozi wawili wa Afrika: Rais wa zamani wa Zambia, Mheshimiwa Michael Sata, na Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mheshimiwa Joseph...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…