Mwenyekiti wa umoja wa maafisa usafirishaji (BodaBoda)kanda ya kihesa Ndugu ALEX ELIAS DUMA amejitosa kusaka udiwani kata ya Kihesa manispaa ya Iringa
Alex Duma anakoleza joto la uchaguzi katika kata hiyo ambayo diwani anaye maliza muda wake na aliyekuwa naibu meya July Sawani nae anatetea...