Aldrich Ames, aliyekuwa afisa wa CIA kitengo cha counterintelligence afariki akiwa na miaka 84.
Huyu bwana alikamatwa na makachero wa FBI mwaka 1994 kwa tuhuma za kuuza siri za shirika la CIA kwa KGB kama double agent na kujipatia mamilioni ya dola...
Alihukumiwa kifungo cha maisha jela...