alama za viganja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siri nzito kuhusu alama zako za mkononi

    Utulivu wa nafsi ni mafanikio Kwa mujibu wa tafiti za kiroho inathibitishwa kuwa asilimia 75 ya wakazi wa hapa duniani hawana nafsi. Ikumbukwe binadamu anakamilishwa na vitu vitatu ambavyo ni mwili, nafsi na roho. Nikisema tafiti za kiroho namanisha wenye uwezo wa kuona vitu wanaona jinsi...
  2. Hivi ni kweli alama za viganja vya mtoto ni lazima zifanane na za baba yake

    Kuna mahali umetokea ugomvi kisa alama za viganja vya mtoto havifanani na baba ake. Je, kuna ukweli wowote wa hilo jambo?
  3. Alama ya herufi "M" kiganjani

    Je, wewe una alama herufi"M kiganjani? Ni asilimia 1% tu ya watu duniani walio nayo alama hiyo! Hapa ndipo unapohitaji kujua sasa maana ya alama hiyo! Tiba za kiganjani au alama za kiganjani (Palmistry) ni njia ya zamani ya kutabiri siku zijazo na tafsiri ya utu wa mtu kutoka kwenye muundo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…