Basi bana. Kama wiki kadhaa hivi iliingia meseji fupi lakini tamu ajabu. Ilikuwa imethibitishwa. Shilingi milioni sita (6,000,000) keshi zilikuwa zimeingia kwenye akaunti yangu ya benki. Nikasema labda ni matapeli wanataka kunizingua. Nikaenda kwenye akaunti. Nikakuta kweli mzigo upo umetulia...