ajira na ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je ratiba ya waajiriwa(wanawake) inawapa nafasi ya kutimiza majukumu yao ya ndoa? Je ratiba ipangiliwe vipi ili majukumu ya ndoa yatimizwe?

    Amebarikiwa mwanamke anayerudi nyumbani kabla jua halijazama na kupika chakula Cha mumewe,hii ni Kulingana na kikao Cha wanaume.Lakini wanawake hao wamekuwa adimu sana zaidi ya almasi za mwadui.Zimekuwepo nyuzi nyingi zinazopinga wanaume kuoa wafanyakazi.Pia wengi wamejikita kuangalia ugumu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…