ajali ya magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ajali ya magari ya mizigo imesababisha foleni kubwa ya magari Barabara ya Moshi – Arusha kwa zaidi ya Saa 10

    Kuna magari kadhaa makubwa ya mizigo inadaiwa ni kutoka Rwanda yamepata ajali eneo la Mto Kikafu katika Barabara ya Moshi - Arusha na kufunga njia kwa zaidi ya Saa 10 sasa, kukiwa hakuna mpishano wa magari. Hali hiyo imesababisha mabasi yasimame kwenye foleni kwa urefu wa zaidi ya Kilometa 20...
  2. Polisi: Tunafanya uchunguzi wa ajali ya magari mawili kugongana na kuwaka moto Morogoro

    Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa ajali ya magari mawili kugongana na kuwaka moto na kusababisha vifo na majeruhi. Tukio hilo limetokea December 31, 2025 jioni huko eneo la kijiji cha Maseyu, kata ya Gwata, Wilaya ya Morogoro ambapo gari T.162 DMD aina ya Mitsubishi Fuso kampuni ya Bill...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…