ajali basi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Basi kampuni ya Mallesa lagongana uso kwa uso na lori, wawili wafariki dunia

    Watu wawili wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Mallesa walilokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani Geita kugongana na lori la mizigo katika Kijiji cha Rumasa, Wilaya ya Chato mkoani Geita. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Geita, Safia Jongo, amezungumza na TBC Digital kwa...
  2. M

    DOKEZO Hili eneo la Nyamikoma, Busega bila TANROAD kuweka matuta watoto wetu watakwisha. Jana mtoto mmoja kagongwa na basi la Zakaria.

    Jamani, naandika kwa majonzi makubwa. Jana nilishuhudia ajali mbaya ya mtoto mwenye umri wa miaka sita akigongwa na gari na kufariki papo hapo. Hii si mara ya kwanza kutokea katika eneo la Nyamikoma, Busega, mkoani Simiyu, katika barabara ya Mwanza–Musoma. Kama mnakumbuka, mapema mwaka huu pia...
  3. Ajali zaua watu 43 na kujeruhi 44 Wilayani Same na Sumbawanga

    Watu 43 wamefariki dunia na wengine 44 kujeruhiwa katika ajali mbali za magari zilizotokea Wilayani Same mkoani Kilimanjaro na Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa. Tukio la kwanza ni la basi la Channel One kugongana uso kwa uso na Toyota Costa iliyokuwa imebeba watu waliokuwa wanakwenda kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…