Mdau,
Je, wajua kuwa Akili Unde (AI) inaweza kutumika kuwafanya watu kupuuza mchakato wa uchaguzi katika mataifa yao?
Mwezi Januari 2024, maelfu ya wanachama wa chama cha Democratic nchini Marekani, katika jimbo la New Hampshire, walipokea simu ya roboti (robocall) yenye sauti inayofanana...