(CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kutekeleza miradi mikubwa ya miundombinu, afya na kilimo mkoani Morogoro endapo ataendelea kupewa ridhaa ya kuwaongoza Watanzania baada ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
Akizungumza leo, Ijumaa Agosti 29, 2025, katika kampeni mkoani humo, Samia...
- DuaZaMama
- Thread
-
ahadi za mgombea
kampeni za ccm morogoro
mgombea urais ccm
- Replies: 0
- Forum: Jukwaa la Siasa