Juzi nikiwa katika safari zangu nilipita Urambo, nilipofika katika Stendi ya Wilaya ambapo basi letu lilipita hapo, nilishangazwa na muonekano wa Kituo hicho, kilikuwa ‘too local’, mazingira yake sio mazuri na ukweli hali hiyo inasikitisha.
Tulishuka na wenzangu kadhaa na kwenda kwenye vyoo vya...