Afisa Mipango (Planning Officer au Economic Planning Officer) ni mtumishi wa umma nchini Tanzania mwenye dhamana ya kuratibu, kupanga, na kusimamia mipango yote ya maendeleo na uandaaji wa bajeti katika ngazi ya Halmashauri (Wilaya, Manispaa, Jiji), Mkoa, au Wizarani.
Huyu ndiye anayetazamwa kama "injini" ya maendeleo ya kiuchumi katika eneo husika, kwani hakuna mradi wa maendeleo unaoweza kutekelezwa bila kupitia mikononi mwake
-
L
Hello naomba tudiscass kidogo kuhusu izi position mbili Afisa mipango miji (town planner) na afisa mazingira (environmental officer) ikitokea umepata nafasi uchague kazi moja kati ya izo,
Utachagua ipi na kwa nini utaichagua iyoo.
KARIBUNI
-
G
Naomba kujuzwa maswali ya Afisa Mipango daraja la pili yakoje written na oral?