afc/m23

AFC/M23 ni muungano wa makundi ya waasi wanaopigana Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa lengo la kuipindua serikali ya nchi hiyo.

Ukiwagawa ili uelewe kwa urahisi:

  • AFC: Ni mwavuli wa kisiasa unaowaunganisha wanasiasa na waasi wote wanaopinga serikali ya DRC.
  • M23: Ndio jeshi lenye silaha uwanjani linalofanya mapambano na ndio nguvu kuu ya muungano huo.
Kwanini inatuhusu Tanzania? Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hivi sasa lipo huko DRC likipambana na waasi hawa wa AFC/M23 ili kurejesha amani katika ukanda wetu wa Afrika Mashariki.
  1. JamiiForums Tanzania DRC: Sehemu ya uwanja wa ndege wa Kisangani walipuliwa na droni za AFC/M23

    Mpaka sasa, bado vita vya mashariki mwa DRC, vinazidi kupamba moto. Baada ya kundi la M23 kuachia mji wa uvira, kwa shinikizo la Marekani, serikali ya DRC kupitia jeshi lake na washilika wake, waliendelea kushambulia ng'ome za kundi hilo katika maeneo mbali mbali, Kivu kusini na kasikazini...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DR Congo imetangaza rasmi kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yote yanayodhibitiwa na waasi AFC/M23

    Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo." Hatua hii inaathiri moja...
  3. JamiiForums Tanzania SADC na SAMIDRC zaufyata tena mbele ya AFC/M23. Mwaka wa kudhalilika na kuvuliwa nguo

    Siku za nyuma, SAMIDRC Mission ilifikia makubaliano na M23, ya kuirahisishia kuondoa wanajeshi wake huko mashariki mwa DRC. South Africa, kwa kuogopa kuzomewa kama walivyofanyiwa mamruki wa Ulaya, walipokuwa wakipita mpakani mwa Rwanda na DRC, waliiomba M23 kwa makubaliano(Hakika yalikuwa na...
  4. JamiiForums Tanzania SADC yaingia makubaliano na AFC/M23

    Kwenye mkutano wa viongozi wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa SADC, huko Goma, Serena Hotel, badhi ya makubaliano yamefikiwa, ikiwa ni pamoja na haya: -AFC/M23 kusaidia majeshi ya SADC kuondoka nchini -SADC kuondoka na silaha zao, huko za serikali ya DRC zikikabidhiwa AFC/M23. -wataalam wa...
  5. JamiiForums Tanzania Hatimae, serikali ya DRC yakubali kukaa meza moja kwa ajili ya mazungumzo na AFC/M23

    Baada ya kutupilia mbali ombi la kundi la AFC/M23, la serikali ya kidemokarasia ya Congo, kukaa kwa ajili ya mazungumzo, waziri wa mambo ya nje, Madam Kayikwamba Wagner, ametangaza kwamba kwa sasa, kutokana za kasi na nguvu ya vita vya M23, huko mashariki mwa Congo, serikali imekaa na kuafikiana...
  6. JamiiForums Tanzania Walikale, ampapo kuna mgodi wa Alphamine wa Canada, na mingine ya wa Belgiji, tayari ipo mikononi mwa AFC/M23

    Walikale, ampapo kuna mgodi wa Alphamine wa Canada, na mingine ya wa Belgiji, tayari ipo mikononi mwa AFC/M23. Hakukuwa na mapigano, kwa sababu toka juzi, wanajeshi wa FARDC na washilika wao, walianza safari ya kuelekea Kisangani, ambapo umbali ni kilomita mia nne na ushee.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…