Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Tabora Mjini Emmnauel Adamson Mwakasaka amejitokeza mapema leo asubuhi kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama cha Mapinduzi ili apate nafasi ya kuwania Ubunge kwa mara ya Tatu mfululizo baada ya kutumikia Jimbo hilo la Tabora mjini katika vipindi viwili...