abbas mtemvu

Abbas Zuberi Mtemvu (born 1 November 1959) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Temeke constituency and Dar-es-Salaam Chama Cha Mapinduzi Chairman.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Abbas Mtemvu: DSM hakuna maandamano anayebisha ajaribu

    Ila tumekubaliana wazee walale ndani wasizungumzie hili suala la maandamano. DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi( CCM), mkoani Dar es salaam, Abbas Mtemvu amesema kwa pamoja wazee wa mkoa huo wameamua kuwa hawataruhusu maandamano yenye kuchochea vurugu kufanyika mkoani humo...
  2. LGE2024 Abbas Mtemvu: Wana-CCM ambao hawajateuliwa kura za maoni watulie na kuongeza nguvu kazi kwenye uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Abas Mtemvu amewataka wanachama wa CCM wasioteuliwa katika kura za maoni kutulia na kuongeza nguvu kazi kwenye uchaguzi. Mwenyekiti Mtemvu ameyasema hayo katika ziara ya Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…