Mtoto wa mstaafu Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Abbas Mwinyi ambae ni Kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi Leo Septemba 25 amefariki Dunia akiwa Hospitali ya Lumumba Mjini Unguja.
Abbas Mwinyi ni Mtoto wa Mstaafu Marehemu Mzee Mwinyi ambae kabla ya...