Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tarimba Gulam Abbas, amesema wananchi ndio wenye mamlaka ya kuchagua viongozi wanaowataka kwa ajili ya maendeleo yao.
Akihutubia wananchi wa Kata ya Hanasif katika kampeni zake leo Septemba 19, 2025, Tarimba amesema...