Habari wana jukwaa, nina mgonjwa(mama mjamzito) mda wake wa kujifungua umekaribia na ninapokaa kuna umbali kidogo mpaka hospitali kwa hofu ya kuhofia asije akapata uchungu usiku ikanibidi niende hospitali ya Vijibweni(Kigamboni) kwenda kuongea nao walau niweze kukodisha ambulance ili mda ukifika...