Google imetoa update mpya upande wa Gmail Ina msaada mkubwa sana kwa watumiaji wa Gmail👋.
Kuanzia sasa Ukipokea verification code kwenye Gmail, huhitaji tena kufungua email na kuanza ku-select namba moja moja. 😮💨
Gmail sasa inaonyesha “Copy code” — bonyeza tu, code ina-copy moja kwa moja 📋⚡...