Yeah kweli kabisa, kitu nilichojifunza ni kutomcheka wala kumkebehi mtu yeyote anayepitia hali flani inayoonekana sio ya kawaida,na kitaalamu zaidi kama unashida yoyote jikaze jitie moyo nenda hospitalini kwa ushauri wa kidaktari
Umenena ukweli mtupu,,that's it ,kama ni hela tafuta kwa manufaa yako ,kwa kua maisha yako yashakua hivyo ukimpata ataekupenda hivyo ulivyo sawa usipompata basi,
Ndo ukweli mchungu,Ila haina budi maisha kusonga,ukweli ni kwamba hamna tiba wala cha mini,ni kukubaliana na hali ili upate amani ya moyo maisha yasonge!
Ni ishu serious kweli,, na ukweli ni kwamba hakuna tuba yoyote,ifundishe akili yako ikubali huo ukweli, kubaliana na hali, ishi maisha yako mwenyewe kuepusha dharau na fedheha!
Hamna cha kuoa bikra wala nini, siku ikitokea Huyo mkeo akacheat lazima akuache,hapo ndipo watu inabidi wajue sio kila MTU lazima aoe au kuolewa wengine ni kujisumbua tu,,hamna mizizi wala mini itakayokusaidia,,yani hio dawa ikaongeze sehemu moja tu ya mwili,mikono isiongezeke miguu isiongezeke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.