Search results

  1. dada grace

    Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

    Mimi ni binti wa miaka 25 niliwahi kutumia sindano za uzazi wa mpango mbili sasa na miaka miwili tangu niache na sijafanikiwa kupata mimba. Nilienda Hospitali nikaambiwa niko vizuri, naombeni ushauri wenu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom