Search results

  1. dada grace

    Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

    Alieunda jukwaa hili alikuwa na madhumun mazur yakusaidiana nakupeana Ushauri ss mbona kuna watu hawajielew jaman wanajibu ovyo km watoto Wa shule hata ivo nashukuru wote mlionishaul na mnaoendelea kunishaur mwenyez mungu awaongezee hekima na busara zaid sina vhakuwalipa,na mulionitolea lugha za...
  2. dada grace

    Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

    Amepimwa hana shida mm nahs ndo tatzo hata ute unatoka mzito sn mzunguko mzima haibadiliki
  3. dada grace

    Nashindwa kushika ujauzito, Je! Sindano za uzazi wa mpango zinaweza kuwa sababu?

    Nilikuwa nimeolewa baada yakujifungua kwa kisu ndo nikatumia
Back
Top Bottom