Search results

  1. Paul Ndatala

    Kitengo cha dawa asilia Muhimbili chagundua tiba ya Kisukari

    VIDONGE KWA WANAOSUMBULIWA NA KISUKARI PAMOJA NA MWILI KUFA GANZI Uyoga umekuwa ukitumiwa kwa miaka takribani 200 iliyopita katika kutibu magonjwa mbalimbali ya mwanadamu. Watu wengi hawaupendi na hawatumii uyoga mara kwa mara. Ndiyo maana tunazidi kushuhudia magonjwa ya ajabu ambayo...
  2. Paul Ndatala

    Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

    KUKOSA USINGIZI(INSOMNIA) Hii ni hali inayodumu kwa muda ambapo mtu hushindwa kupata usingizi au kuwa na usingizi wa mang'amung'amu. Kwa kawaida mtu mzima anatakiwa kupata usingizi kati ya masaa 7-8 wakati wa usiku. Tatizo hili huenda sambamba na kutokuwepo kwa ufanisi wa tezi iitwayo pineal...
  3. Paul Ndatala

    Kutokoma kwa hedhi, msaada madaktari

    Atumie tu suppliments, tatizo litaisha
  4. Paul Ndatala

    Kubana mkojo!

    Pia kufanya hivyo unaruhusu maambukizi katika njia ya mkojo, take care
  5. Paul Ndatala

    Kutokoma kwa hedhi, msaada madaktari

    Hii husababishwa na kutobansi kwa vichocheo katika mwilini. Kwa ushauri zaidi amwone daktari aliye karibu naye au 0758986658 kwa ushauri zaidi
  6. Paul Ndatala

    Msaada: Alergy ya pombe

    Acha tu pombe
  7. Paul Ndatala

    Dawa za usingizi zinafanyaje kazi?

    Tumia suppliments utapona. Karibu kwa ushauri zaidi
  8. Paul Ndatala

    Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

    Amuone daktari, kwani tatizo si kubwa sana, atapata suluhisho, au nitafute kwa ushauri zaidi
  9. Paul Ndatala

    Afya yako

    Afya ni hazina kubwa katika nyanja zote muhimu. Napenda tujadili afya huku tukilenga matatizo yanayomkumba kila mtu na kuyapatia ufumbuzi. Karibuni kwa maswali.
  10. Paul Ndatala

    Ushauri: Nimegundulika kuwa na High Blood Pressure. Je, nifanyeje kuhimili hali hii?

    Mmea wa aloe vera unajulikana sana ulimwenguni kutokana na kazi zake katika mwili wa binadamu. Zifuatazo ni baadhi ya kazi zake 1.Hutumika katika kuifanya ngozi kuwa nyororo na ang'anyu ndiyo maana hutumiws sana katika vipodozi. 2.Hukinga ngozi dhidi ya mionzi ya jua, hivyo huzuia...
  11. Paul Ndatala

    Ushauri: Nimegundulika kuwa na High Blood Pressure. Je, nifanyeje kuhimili hali hii?

    Kama tatizo lako bado lipo, tumia dawa itokanayo na mmea wa ginkgo, kwani hutibu matatizo yatokanayo na mzunguko wa damu ikiwemo shinikizo la juu la damu, hypertension. Ina vidonge 96, fanya mpango uipate. au wasiliana nami. Tatizo lako bado ni changa laweza kutibika.
Back
Top Bottom