Search results

  1. M

    Uhusiano kati ya mimba na premature ejaculation

    Kama mada inavyojieleza...hivi mtu mwenye premature ejaculation anaweza kumpa mwanamke ujauzito??....na je kama ni kweli huyo mtoto atakayezaliwa hatakuwa na mapungufu??... MziziMkavu na wataalamu wengine wa jukwaa nawasilisha kwenu
  2. M

    Mawazo yako muhimu sana

    Habari zenu wakuu,nilikuwa naomba mnisaidie mawazo yenu ili kujua kama hivi navyofanya ni sahihi au natwanga maji kwenye kinu..??.... Ni hivi,tangu niko darasa la 6 nilianza kujihusisha na kujichua yaani masturbation,ilifikia kipindi nikawa addicted,mpaka kufikia kidato cha kwanza nilishaanza...
Back
Top Bottom