Imeelezwa Marais wa Rwanda, Zimbabwe na Kenya wako Korea Kuungana na Rais Samia kwenye Mkutano wa kihistoria wa Korea Kusini na Africa
Museven amewakilishwa na Naibu wake
Credit: Naipamei Kaikai X
Ndugu wajumbe,
Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza...
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu.
Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu.
Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amezitaka nchi za NATO kuipa silaha Ukraine ili ishambulie ndani ya mipaka ya Russia hasa military targets.
Mpango huu umekuja baada ya Ukraine kutembezewa...
1. Mwenyekiti yupo kimya anaonekana kwenye makongamano tuu ya TCD na aina iyo. Hakuna kauli yoyote toka Kamati Kuu ikae
2. Makamu Mwenyekiti anafanya mikutano peke yake (sio kitaasisi) huku...
Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.