Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la...
57 Reactions
409 Replies
10K Views
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
5 Reactions
41 Replies
611 Views
Alie angalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match. Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar. Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia...
15 Reactions
35 Replies
1K Views
Hawa viongozi toka wameanza ziara za kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa kigezo cha faragha na kisayansi kwa kweli wamefeli pakubwa sana, Wametatua kero ngapi...
0 Reactions
4 Replies
13 Views
1. Mwigulu Nchemba 2.January Makamba Wapewe nafasi waweze leta mabadiliko wamwache Samia apumzike kwa mwaka huo.
1 Reactions
24 Replies
234 Views
Baadhi ya waendesha pikipiki Jijini Dar es Salaam wameomba kuambatanishwa kwenye ziara za Rais Samia Suluhu Hassan anazozifanya nje ya nchi kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wao. Maombi hayo...
5 Reactions
15 Replies
51 Views
Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu. Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
10 Reactions
118 Replies
1K Views
Amkeni jamani mnalala mna pesa? Ni kama vile hawa watu weupe wameshatujuwa weakness zetu basi na wao wanapitia humohumo. Mama Samia muda South Korea anatunukiwa degree nyingine.
1 Reactions
0 Replies
1 Views
Taarifa ndio hiyo kwamba Wanawake wanaendelea kutoa Viongozi Wakuu wa Nchi kwa njia za kidemokrasia Mexico inatarajiwa Kupata Rais wa kwanza Mwanamke katika matokeo yatakayotangazwa muda mfupi...
1 Reactions
11 Replies
79 Views
Kocha wa Zamani wa Yanga Nabi kwasasa anakinoa kikosi cha ASFAR Rabat ya huko Morocco. Ligi hiyo imekamilika kwa mzunguko wa kwanza na hizi ndizo takwimu za kocha Nabi. Amecheza mechi 15 Ana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,694
Posts
49,783,716
Back
Top Bottom