Kuna tukio limetokea naona ni vyema niwaambie na wengine ili muwe waangalifu. Nina kawaida ya kuingia termis ya TARURA kucheki gharama ya maegesho na wakati fulani hupata alert za kuonesha...
Make China great again? App ileile ambayo alitaka kuifungia akiwa raisi.
Mzee kachekecha akili akaona ili apate kura za vijana ajiunge TikTok
Post yake ya kwanza tayari imepata likes zaidi...
Najua Nyinyi Wakristo huwa Mnaswali kwa Mungu mkipitisha sala hiyo kwa Yesu Kiristo kwa kuwa yeye anatekeleza jukumu la kuwa mpatanishi kati yenu na Mungu Mwenyezi; Je ni hivyo kweli mnavyotakiwa...
Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu.
Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu...
Tunakushukuru kwa kumpa kadi moja ya njano Dickson job baada ya kufanya rafu Kali mbili kwa kipre na Fei,😀
Tunakushukuru kwa kumuacha aucho baaf rafu mbili pia na Ibrahim baka ambaye mwishowe...
Wakuu nimejaribu kuangalia kwenye website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
UPDATES : Friday 31st
Leo nimeenda ofice za UTT hapa mwanza.
Kwa maelekezo mdau alinielekeza zipo JB BELMONT...
Nilichojifunza kuhusu Africa Kusini kwenye uchaguzi wao , ni yafuatayo:
1. Kwenye uchaguzi wao wameaangalia sera zaidi, sio vyama vya siasa au utumbuizaji wa wasanii kwenye majukwaa ya kampeni...
Zaidi ya mashabiki 1,000 wa Fenerbahce wameshiriki katika mapokezi ya kocha wao mpya, Jose Mourinho wakati akitambuliwa kwenye Uwanja wa Sukru Saracoglu Jijini la Istanbul.
Kocha huyo amerejea...
Tunaposema chini ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Watanzania wamekuwa na raha lazima tuwe Tunaelezwa,
Tangu uhuru rekodi hii ya furaha kwa Watanzania haijawahi kufikiwa,
#Sasa 2025 tumuache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.