Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
16 Reactions
249 Replies
2K Views
Tunakushukuru kwa kumpa kadi moja ya njano Dickson job baada ya kufanya rafu Kali mbili kwa kipre na fei ,😀 Tunakushukuru kwa kumuacha aucho baaf rafu mbili pia na Ibrahim baka ambaye mwishowe...
0 Reactions
9 Replies
28 Views
Zaidi ya mashabiki 1,000 wa Fenerbahce wameshiriki katika mapokezi ya kocha wao mpya, Jose Mourinho wakati akitambuliwa kwenye Uwanja wa Sukru Saracoglu Jijini la Istanbul. Kocha huyo amerejea...
0 Reactions
3 Replies
111 Views
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana. Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
20 Reactions
325 Replies
5K Views
Jaribu kufanyia Utafiti utaelewa Hata Nchi ya jirani ya Zanzibar ni mfano mzuri Rais akiwa mwislamu basi Vijana wao huwa na fursa ya kuingia madarakani tofauti na Wagalatia Nadhani huu ni...
11 Reactions
35 Replies
757 Views
Tumeshuhudia msimu uliokuwa na wachezaji wasio na ari kabisa ya mafanikio.Wachezaji tunaowajua kwa uwezo wao waliweza kutushangaza kila wabapoingia uwanjani kwani ilikuwa nadra kutoruhusu bao...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye...
22 Reactions
1K Replies
25K Views
Sifahamu sheria za soka zinasemaje kuhusu hili , lakini ni wazi kwamba wachezaji wa Azam wanaidhulumu timu yao , hawastahili kufungwa kizembe namna kama wafanyavyo , ni wachezaji wanaopewa karibu...
4 Reactions
82 Replies
6K Views
Ndugu wajumbe, Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza...
1 Reactions
11 Replies
177 Views
Kuna msichana nimempata Wanajf kaniambia hivyo. Inaweza kuwa kweli?
5 Reactions
325 Replies
40K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,628
Posts
49,782,109
Back
Top Bottom