Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna maeneo mengine mengi tu tena yenye utulivu wa kutosha. Kwanini lazima iwe bar na sio sehemu nyingine?
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya...
1 Reactions
5 Replies
83 Views
Kumekuwa na kelele mitandaoni kuwa Jude Bellingham anastahili kutwaa tuzo ya Ballo d’or Msimu huu kwenye Uefa kuanzia hatua ya mtoano mpaka Madrid wanabeba taji sijaona mchango wake walau hata...
6 Reactions
17 Replies
190 Views
Habari wanajamvi Naombeni msaada kuna mdada wa kazi nlikua naishi nae hapa nyumbani ametoroka usiku,na kaondoka na begi la ndugu yangu Katokea ifakara kyelekea morogoro mjini
6 Reactions
62 Replies
699 Views
Hii sio kutoka kwa janabi hii ni kutoka kwa Wataalamu wanasayansi wa mambo ya lishe wanapendekeza Saizi ya kawaida ya mchele kwa watu wazima ni ½ kikombe cha mchele uliopikwa. Size hio ni sawa na...
2 Reactions
6 Replies
7 Views
Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka...
2 Reactions
6 Replies
53 Views
Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku. Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii. Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
18 Reactions
67 Replies
1K Views
Morning members. Kuna hali nisiyoielewa siku za hivi karibuni kwa wasichana wengi kula nauli halafu hawaendi. Malalamiko ni mengi watuma nauli wanalalamika nauli zao kuliwa bila kuona midoli...
10 Reactions
105 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,463
Posts
49,776,228
Back
Top Bottom