Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London.
Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
Mwaka 2017 FDA ya Marekani iliipitisha dawa ya Ozempic kuwa dawa ya kutibu kisukari. Baadaye ikaonekana dawa hiyo inasababisha madhara ya kupunguza uzito.
Walichofanya ni kuiongezea nguvu na...
Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa.
Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi...
Kuna wakati unaweza kukuta usingizi umekata ghafla hlf bado ni katikati ya usiku mwingi.
Muda huo ni mtihani maana unaweza usijue ufanye shughuli gani maana bado ni usiku mkuu.
Hapo kuna...
Alhamisi, Aprili 25, 2024
Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo...
Wakuu mambo vipi poleni na majukumu yankujenga taifa nawapenyezea hii wale wapenda magari na miendo Ile drag race iliyofanyika mwaka jana pale Nyerere bridge kigamboni inarudiwa tena hii ni season...
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.