Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimedownload apps nyingi nyingi kdg ambazo zimetengenezwa na developers wa tanzania, wengi naona wanadevelop for android, nahisi labda market kubwa iko huko bongo, iOS wameisahau kabisaa!! Swali...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana. Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000. Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
3 Reactions
119 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu ni WAZALENDO kwelikweli,ni wasafi sana, ni waaminifu waliopitiliza,ni wacha Mungu na wenye Hofu ya Mungu sana na wana uchungu mkubwa Sana na Maisha ya...
15 Reactions
218 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi Mashariki ya Ziwa Victoria – Busweru, Samweli Lunzebe kwa tuhuma za...
6 Reactions
53 Replies
1K Views
Wale wakongwe walio anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer. Nini au tukio gani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
2 Reactions
171 Replies
2K Views
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
25 Reactions
116 Replies
2K Views
kwa system ya Kenya huwa naona mara nyingi governor akichallenge na rais, is the hovernor more powerful ?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
152 Reactions
13K Replies
4M Views
Kwema wakuu, kama mada inavojieleza. Wakuu kuna mke wa jiran yangu nashindwa kumuelewa, alisafir miezi miwili iliyopita sasa karudi kama siku tatu zilizopita sasa kanivizia nipo pekeangu anaanza...
1 Reactions
1 Replies
23 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,285
Posts
49,770,494
Back
Top Bottom