Kuna uvumi mkubwa sana ndani ya CHADEMA kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe hawataki ndani ya chama viongozi wenzake walioko ndani ya Kamati Kuu ya sasa CHADEMA.
Inasemekana kuwa Mbowe...
Hapa mtaani kuna mama mmoja anaitwa Mama Nancy amemuajiri mtoto ambaye kwa umri sina uhakika lakini nahisi ana umri wa miaka 9 au 10, ameajiriwa kama house girl.
Kibaya zaidi Mama Nancy amekuwa...
Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka.
Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021.
Kongole Mama yetu, tunakupenda sana...
Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana.
Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000.
Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia...
Habari wanajukwaa wa JamiiForums!
Baada ya kukutana na machapisho mengi kuhusu Series ya Breaking Bad, ulinganisho kati ya Prison Break na Breaking Bad na mengine mengi kuhusu Breaking Bad...
Ndinga Hilo
Gari ipo vizuri sana
Gari ya mwaka 2022.
PRICE/BEI: 122M
EXCHANGE/NAVUNJA NA GARI YOYOTE✅
FORD RANGER STORM TRACK 🛻
Year:2022
Engine Capacity:2.0cc
Engine: DIESEL TURBO
Kilometer...
Kwa mujibu wa clip:
1. Anajinasibu kwa Utanzania na si Utanganyika
2. Anakiri kuwa Wazanzibar ni Wazanzibar
3. Inaonekana kuna watu walitamani ajitambulishe kwa Utanganyika lakini yeye akaamua...
Kuna wanawake walikuwa na nguvu bwana.
Achana na akina Wema Sepetu.
Achana na akina Mobeto.
Yaani hawa walikuwa wanamuamrisha rais nini cha kufanya.
Unajua CIA walikuwa makini sana kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.