Wanakumbi.
BREAKING:
🇺🇸🇮🇱 Biden:
"Baada ya diplomasia ya kina kufanywa na timu yangu, na mikutano na wanadiplomasia wa kigeni, Israel imetoa pendekezo jipya."
Ramani ya njia ya usitishaji...
Urusi imeishutumu Nato na Marekani kwa "kuchochea kiwango kipya cha mvutano" baada ya Marekani na Ujerumani kuwa washirika wa hivi punde kuruhusu jeshi la Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na...
Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa.
Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni...
Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu.
Wako wanaofurahia propaganda hizo.
Wako wanaoamini propaganda hizo.
Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo.
Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media...
TK movement ni vuguvugu lililoanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo kuu la kuwaleta pamoja vijana ili kuwajengea fikra za kimapinduzi.
Hatahivyo baadhi ya wanasiasa na wana habari wamekuwa...
Hospitali ya Rufaa ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro imezindua wodi ya kisasa ya wanawake wajawazito itakayotoa fursa kwa mwanaume kuingia wodini wakati mke wake akiwa kwenye hatua za kujifungua...
CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake.
Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma.
Watumishi wa umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.