Habari wakuu
Naomba kujuzwa kwa mtu aliye mbezi beach shule anafikaje Chanika mwisho kwa usafiri wa daladala .
Option ya Bolt inaleta mpunga mrefu kidogo 52k
Iwe kweli au uongo kwa kiongozi wa umma tena Mkuu wa Mkoahutakiwi hata kuhisiwa! Sio tu kufanya hata hivyo anapaswa kuwajibika.
Lazima tulinde na kuheshimu dhamana tunazopewa kutetea hili kuwa ni...
Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂
Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke...
My Take
Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele.
https://www.instagram.com/p/C8Ht26kMeDf/?igsh=eWlxY2ljY3I3YnZ6
Tafuteni hoja nyingine 👇👇
“TPA...
Habari zenu watanzania wenzangu, nawaomba msishtushwe na kichwa Cha habari nilichoweka hapo juu.mnaweza mkajiuliza "huyu anataka kusemaje tena?"😂 Au "muhuni au mwizi amefikaje kwenye jukwaa hili...
Habari za hapa wana jamii mimi ni mtanzania ila kwa sasa niko 🇰🇪 kenya ila mmmh life ya kenya kiukweli ni ngumu mnoo sasa nilikuwa naomba wazoefu wa haka kanchi kanaitwa Botswana 🇧🇼 nataka...
Muda sio mrefu nimetoka julwaa la love connect nimeshtushwa sana kuona watu wanavyowaponda watu ambao wanatafuta wachumba/ wake
Wengine wanatumia mwavuli eti wanafanya utani na masihara kiukweli...
Wakuu nisaidieni nilikua natumia nearby share kuhamisha mafile Sasa nilivyo update system simu ghafla Nika kukutana na quickshare.
Sasa hapa ndipo tatizo lilipoanza Nikwamba speed yake ni ndogo...
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,
Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.