Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jumatano hii kweli ya watu kujaa beach nimenusa watu Wana mipango ya Hela week hii toka ianze Mpaka itakapoisha maokoto kama yote kama wewe hujapitiwa aisee badilisha mfumo kabisa.. Ila...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nipo hapa kitambaa cheupe sinza naona jinsi watoto wa kike wadogo wanavyowapelembesha watu wazima wa kiume😀😀😀.
1 Reactions
7 Replies
119 Views
Kuna wimbi jipya na linapita kwa kasi sana. Ndani ya hilo wimbi yapo tunayoyajua lakini yapo ambayo hatuyajui ama tunayahisi, na wakati ukifika ndio tutajua kama tulikuwa hatujui. Audha kama...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika. Chama cha kwanza ni chama cha United National...
17 Reactions
65 Replies
661 Views
My Take Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele. https://www.instagram.com/p/C8Ht26kMeDf/?igsh=eWlxY2ljY3I3YnZ6 Tafuteni hoja nyingine 👇👇 “TPA...
12 Reactions
139 Replies
5K Views
Iwe kweli au uongo kwa kiongozi wa umma tena Mkuu wa Mkoahutakiwi hata kuhisiwa! Sio tu kufanya hata hivyo anapaswa kuwajibika. Lazima tulinde na kuheshimu dhamana tunazopewa kutetea hili kuwa ni...
3 Reactions
67 Replies
1K Views
Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume, Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
17 Reactions
88 Replies
2K Views
WhatsApp imeanzisha utaratibu wa kutuma sauti (voice note) ambayo mtumiwaji ataweza kuisikiliza mara moja tu (listen once) kama ambavyo ilivyo kwenye picha (view once). Ni maendeleo mazuri ya...
2 Reactions
3 Replies
44 Views
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA TIMU YA KUANDAA ANDIKO LA VISION 2030 ● Prof. AbdulKarim Mruma kuiongoza Timu ●Wapewa Hadidu za Rejea 14 muhimu kujenga uchumi wa nchi kupitia madini ● Tanzania kufanya...
0 Reactions
0 Replies
6 Views
Kama Chura kiziwi hasikii cha kujiuliza maelezo ya kuanza kushindana kapataje. Je Chura kiziwi anasoma tu maelekeza na anapewa na nani? Kwanini chura kiziwi hataki katiba kama kweli anafanya vitu...
1 Reactions
3 Replies
63 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,666
Posts
49,863,199
Back
Top Bottom