Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwanza vitu vingine kwenye maisha sio lazima ni sifa tu, hakuna utofauti wowote kwenye ndoa either ufanye sherehe au usifanye, lakini kumekua na kero kubwa sana juu ya hii Michango ya harusi, ndoa...
1 Reactions
7 Replies
87 Views
Hali zenu, #SakoKwaBako! Kile nilichokuwa nahisi kuwa ni kweli, hatimaye kimejidhihirisha kuwa ni kweli, na hii imedhihirisha kuwa nilikuwa sahihi kuwaza hivyo. Tatizo langu ni la saikoloji...
2 Reactions
4 Replies
5 Views
Wanajukwaa habari zenu! Hivi umewahi kujiuliza, Kwa nini Mboga ni za lazima au muhimu unapokula ugali? Je, umewahi kula ugali bila mboga yoyote ile? Inawezekana? Haiwezekani? Kuna makundi makuu ya...
1 Reactions
31 Replies
239 Views
Ebana wanajamvi inakuwaje? Nilikuwa natembea kuelekea kwenye Kituo cha basi upande wa pili. Nilipokuwa navuka zebra kuelekea kwenye hicho kituo kulikua na mzee mmoja kakaa anasubiri basi. Cha...
12 Reactions
55 Replies
442 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO...
2 Reactions
16 Replies
306 Views
Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine. Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na...
3 Reactions
15 Replies
281 Views
YouTube blogger amekuwa anawauliza raia wa Nigeria swali,kwamba kama inatokea fursa ya kupewa Uraia wa kudumu wa Tanzania au Kenya,watapenda kuishi Nchi gani? Jibu la wengi ni kwamba Watachagua...
2 Reactions
167 Replies
2K Views
Kuna tabia za ajabu sana za madereva wengi Tanzania ambazo mimi nazijumlisha na kuwa mambo mawili makubwa, ushenzi na kukosa ustaraabu. Natoa wito madereva tubadilike, kwa sababu kwa na tabia hizi...
15 Reactions
52 Replies
780 Views
Kuna tatizo gani kama mfano ukiamua kumpa Mama yako Tsh 300,000/ kwa Mwezi na Baba yako nae ukampa Kiasi hicho hicho? Inasikitisha sana kuona Mzee wako ambaye alijipinda ' Kitandani' hadi Leo...
1 Reactions
5 Replies
32 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,635
Posts
49,862,070
Back
Top Bottom