Yalionikuta Sina hamu na nyie wanaume,
Long story short, mwanaume wangu huwa kwenye simu yake Ana namba nyingi kasave majina ya kiume, and I have been wondering and being suspicious kuhusu hilo...
Nimerudii tena mimi kadogo2 safari hii nina majonzi
Kuna story nilishaitoaga hapa kuhusu kumuacha Ex wangu kwa mambo Fulani fulani.. sasa bhn sababu kubwa niwe mkweli huyu ex wangu alikuwa...
Mwanza/Dar. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linaendelea na uchunguzi juu ya tukio la kigogo mmoja wa juu ngazi ya mkoa wa kanda ya ziwa, kutuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wa chuo kikuu jijini Mwanza...
Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika.
Chama cha kwanza ni chama cha United National...
Hii ni kauli tunaisubiri mwaka 2035 toka kwa moja ya viongozi wa nchi hii. Imekuwa kawaida kukumbuka makosa wakati kumesha kucha.
Rais mkapa aliwahi kukiri kwamba alifanya makosa kubinafisha...
Mkutano wa CHADEMA wa Singida Magharibi ulioongozwa na Tundu Lissu umefana
Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro
Naye John Pambalu ameitaka...
Kwanza nawapa salamu, nazingatia itifaki/
Nadhani Mvumbo mnamfahamu, kwenye mistari mimi ndiye chaki/
Naandika zaidi ya kalamu, mwana Hip hop kindaki ndaki/
Ma mc's wa Jamii Forums, karibuni nyuma...
Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu, utatamani kulia machozi. Pamoja na kwamba kuna ndege kadhaa za kimataifa zinazotua katika viwanja vyetu, lakini mara nyingi viwanja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.