Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kwa Tanzania Bacca mna tunacho mdai. he is very good. naona next season yanga wampe uhuru akacheze ulaya. hata trial tu. wasting his potential at yanga. huyu hata Manchester United anapita.
0 Reactions
4 Replies
93 Views
Ukiona huyu bwana anaingilia mambo ujue kalipwa
7 Reactions
68 Replies
2K Views
Kinachoendelea Ufaransa, kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
9 Reactions
124 Replies
11K Views
Mkutano wa Chadema wa Singida Magharibi ulioongozwa na Tundu Lissu umefana Lissu amewataka wananchi kufanya mabadiliko kwenye serikali za mitaa ili kuondoa Migogoro Naye John Pambalu ameitaka...
0 Reactions
1 Replies
76 Views
Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nimekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe. Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi...
12 Reactions
190 Replies
15K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
929 Reactions
1M Replies
42M Views
Alianza kama anatania vile mara... "... oooh kunywa pombe sio dhambi.." kumbe mzee wa upako alikuwa anagida bapa huku anaombea na kupaka mafuta ya 'upako' wagonjwa na wenye shida mbalimbali...
15 Reactions
96 Replies
3K Views
Hivi kweli mnamtengea fedha huyu chawa asiye na aibu wala kujitambua aitwaye Steven Nyerere (sina hakika na hilo jina) aisemee CCM na mwenyekiti wenu na kumuandalia Press? Mnatuonaje Watanzania...
8 Reactions
21 Replies
649 Views
Jamani nipo serious natafuta mume nahitaji mwanaume ambaye yupo serious kwaajili ya ndoa na kujenga familia. Awe na mapenzi ya dhati maana napenda kupendwa na kudeka. Awe baba kwa watoto wake...
16 Reactions
61 Replies
698 Views

FORUM STATS

Threads
1,862,426
Posts
49,857,452
Back
Top Bottom