Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeandikq threads kama tatu za samia with concrete takwimu na data haswa lakini wanafuta. Hawataki kumsikia kabisa samia sijui kawafanyaje!! Nahisi kwa vile kuna uwekezqji kila mahali wakati...
0 Reactions
9 Replies
68 Views
Mm nikijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huki malindi kenya kujitafuta sasa kinachonileta kwenu ni hivi kuna mwanamke maana ni mwanamke ako na 35 years tulikutana kwa app inaitwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa muda mrefu sana, CHADEMA wamekuwa wakilaumu kukwama kwa maridhiano kwa sababu ya CCM kutokukubaliana na madai yao mengi. Jambo hili liliwashangaza Watanzania wengi wanaofuatilia siasa, kwani...
0 Reactions
9 Replies
231 Views
Habari nipo Dar es salaam,natafuta rafiki wa kike sichagui dini Wala kabila ila awe mwenye umri wa miaka 18-30 ili baadae awe mke wangu aliyetayari anitafute pm ntampa namba yangu ila awe mkweli.
2 Reactions
45 Replies
176 Views
Tatizo sio try again,tatizo ni mangungu. Try again alikuwa anamfanyia kazi moo na sio simba,sasa kama bado mangungu yupo simba shida ipo pale pale
1 Reactions
1 Replies
38 Views
My Take Mlisema Samia ameuza Bandari Kuna bango lenu hili hapa, ni spana tuu Kwa kwenda mbele. Tafuteni hoja nyingine 👇👇 ====== “TPA (Mamlaka ya Bandari Tanzania) mwaka jana (2023) nina...
9 Reactions
84 Replies
2K Views
Wanaume tunapitia maisha magumu sana, hebu fikiria mtu ambaye anafanya kazi, mnaishi wote halafu mwanamke anakuja kuvuruga kila kitu. Nina jamaa yangu na mkewe wanaishi wote. Huyo mkewe alikuwa...
13 Reactions
84 Replies
2K Views
Leo, Taifa Stars Itakuwa dimba la Levy Mwanawasa ikisaka ushindi mbele ya timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo, mchezo kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 Mechi hii itapigwa saa 1:00 usiku
3 Reactions
7 Replies
67 Views
China, marking the longest-distance remote robotic surgery on humans. The world's first transcontinental live telesurgery Huenda ikakushangaza na ukajiuliza wamewezaje? Huu ndio upasuaji wa...
3 Reactions
29 Replies
257 Views
Kila mtu ana matamanio yake juu ya mtu au katika maisha, je! Ni aina gani ya mwanamke ambae unatamani kuwa nae lakini hujampata?
6 Reactions
233 Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,862,320
Posts
49,854,150
Back
Top Bottom