Wakuu habari,
Chama cha Umokhonto We Sizwe (MK) chini ya kiongozi wake na aliye kuwa raisi wa zamani Jacob Zuma wamejizolea asilimia 13 ya wabunge wote mpaka sasa wamesha hesabu 80% ya wilaya...
Shule ya Msingi Kitonga iliyopo kwenye Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam (Ilala) iliyopo Kata ya Msongola, Kitonga ina Wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wanatumia madarasa 13 huku wakitegemea Walimu...
Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za...
Sasa mambo ni njenje,hakuna Siri Tena.
Je vita vya nyukilia ndio maangamizi mengine kama yale ya sodoma na Gomorra?
Je Mungu huko aliko anajisikiaje?
Je Dunia inaelekea wapi?
Hawa watu mbona...
Mim ni mmoja wa wahanga katika kukopa mkopo katika taasisi ya fedha ya kukopesha inayoitwa Bayport Financial Service ambapo ni mwezi sasa toka nilipoomba mkopo mpaka rejesho la kwanza limefanyika...
Itakumbukwa simba ndio walipeleka kibegi mlima kilimanjaro, walifika hadi kileleni, sisi tunaojua mambo haya tuliamini kabisa kuwa mwaka huu ulikuwa wetu, yalikuwa masharti ya mtalaamu wetu kuwa...
Wakuu heshima yenu,
Mimi ni kijana Aged 27 sijaoa ila nina mchumba tangu mwaka 2020 ila bado hatujatambulishana makwetu, sina mtoto na wala sijawahi kumpa ujauzto manzi yeyote.
Kilichonileta...
Mimi ni Mkazi wa Ifakara Mkoani Morogoro, nina kero moja ambayo naona kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele mambo yanazidi kuharibika, bora niseme hapa kupiti JF ili ujumbe uwafikie wahusika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.