Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za...
23 Reactions
225 Replies
3K Views
Kuna wakati Uganda walimchukua Prof Lipumba akawasaidie kuimarisha uchumi wako, then wakamchukua Balthazar Mwenda kwenda kuimarisha Mifumo yao ya Kodi Wakati Ule Tanzania ilisheheni wasomi wa...
1 Reactions
8 Replies
21 Views
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect...
8 Reactions
37 Replies
186 Views
Bado ni tetesi kwa sababu huyo Mgombea bado anabembelezwa na wapambe wake asijitoe Ili kulinda Heshima ya chama Naendelea kufuatilia kwa karibu na nitawajuza kinachoendelea
0 Reactions
13 Replies
314 Views
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda. Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini. Ujumbe wake huu hapa ---...
26 Reactions
126 Replies
4K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amefunga ndoa Takatifu Habari zaidi za mnuso na mengineyo zitakujia
30 Reactions
88 Replies
3K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Habari wanajamvi. Nimekuwa nikikabiliana na woodworms (wood borers) kwenye miti na mbao hasa ni wale long-horn beetles wadudu wanao kula mbao kwa muda mrefu kwa kutumia aina tofauti todfauti ya...
0 Reactions
1 Replies
27 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI. Wizara ya Ujenzi imeanza utaratibu wa kushirikisha sekta binafsi kwa utaratibu wa ubia (PPP)katika kutekeleza miradi ya...
0 Reactions
2 Replies
34 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,180
Posts
49,739,788
Back
Top Bottom