Wote dini moja ya kiislamu, lugha moja.... ila kama ilivyo kwa binadamu lazima atafute sababu za kuuana, hawa wanauana baina ya ukoo kwa ukoo..
Ukizingatia ni wale watu wa kubwatuka allah akbar...
Hii biashara imekuwa na vijana wengi kila baada ya nyumba tano utakutana kijiweni Cha boda kazi hii imekuwa ni ya mateso sana vijana wanafanya kazi masaa mengi kupata riziki pia ni hatari sana...
Kwa maoni yangu, hulka ya huyu mama yetu kipenzi inaendana na Maulid Kitenge au Mwijaku. Amteue mmoja kati ya hawa vijana kuja kuchukua kitengo.
Haya ni maoni yangu japo sipendezwi na mambo yao...
Ilikuwa ni mwaka 2014 nipo facebook, nilipost picha yangu kwenye group la "tafuta marafiki na mchumba", kulikuwa na comment nyingi za mabinti, nikachagua mmoja ambae nimevutiwa nae kwa kuangalia...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Habarini jamani,
Kuna binti niliwahi kuwa katika mahusiano nae miaka ya nyuma kipindi tupo secondary lakini mahusiano yetu yalivunjika mara baada ya sote kujiunga na chuo
Kwa sasa ni mke wa mtu...
Wadau hamjamboni nyote?
Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu
Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa.
Naomba maoni yenu kuhusu mambo...
"Fedha zote ambazo MO alikuwa anazitoa yaani za kununua mchicha, kununua kandambili boxer za wachezaji zozote zile ambazo ametoa kwenye Simba Sports Club anazidai, na ameelekeza zibadilishwe ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.